3 d.
Dk. Gwajima awahimiza wananchi kuupokea na kuulinda mradi wa pamoja kwa ustawi wa jamii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka wananchi waliopo katika Halmashauri 40 zilizopo katika Mikoa 10 ya Arusha, Mwanza, Kagera, Mara, Singida, Shinyanga, Geita, Rukwa,Tabora na Simiyu... The post Dk. Gwajima awahimiza wananchi kuupokea na kuulinda mradi wa pamoja kwa ustawi wa jamii first appeared on JAMHURI MEDIA.